Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,196
Jiandae kucheza na kenzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chizi wee
Ifike muda watoto mkacheze na wenzenu[emoji1787]
Jiandae kucheza na kenzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chizi wee
Kwani si nasikia kuna serengeti light na serengeti kubwa!
Subiri kwanza, nishaanza weekend mama. Matatizo hadi Monday huko.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasahivi una msala Gani?
Kumbe, haya.Kwani si nasikia kuna serengeti light na serengeti kubwa!
Hivi Eroni wewe ndio hutaki tukuone hata kidogo tu rafiki??ujue unatukatili sana eka basi hapa hata ukucha tu.Kwani si nasikia kuna serengeti light na serengeti kubwa!
Kuwa na adabu wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jiandae kucheza na kenzio
Ifike muda watoto mkacheze na wenzenu[emoji1787]
Alinyang'anywa funguo shetani sembuse wewe[emoji57][emoji57]Weeeh?
Haijafika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza hawezi kukwambia kabla hajakatiza kwangu,,mimi ndiye mwenye funguo za go ahead
Ngoja nikalishe Kajua kenzio humu ndaniKuwa na adabu wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watoto gan hao, unaozungumzia wee?
Funguo ishatua kwangu[emoji1787]Alinyang'anywa funguo shetani sembuse wewe[emoji57][emoji57]
Chaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Subiri kwanza, nishaanza weekend mama. Matatizo hadi Monday huko.
Mbona naweka sana tu, subiri nitaweka tena.Hivi Eroni wewe ndio hutaki tukuone hata kidogo tu rafiki??ujue unatukatili sana eka basi hapa hata ukucha tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama utaweza kunikaba roba karibu 😁😁Mwenyeji hiyo PC km nikupore vile, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo najifunza u panya road hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama utaweza kunikaba roba karibu [emoji16][emoji16]
hahahaha.nimekufananisha na Prophetess Trizah.Daah mbona Prophetess 🤣🤣