cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,176
Wana nafasi yao mbinguni





Wana nafasi yao mbinguni





Mie wembamba sana hapana... napenda kudeka mie nimkalie kalie mara ninyanyuliwe sasa mwembamba sana ntammaliza Nguvu mapema 😉😉😉😉 🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️!
nikiwaga mashineni napenda kuchezea ule mfuko bas nakung'uta wee.



nakulipiga lile li bati unga utoke wote


Sisi wafupi sijui tutaenda wapi.
Yukwapi shos sijaona mie!!shouzzz mkaka mzuri huyooo.
hahahaha.dah watu wafupi vibonge kazi tunayo
Usjari mrembo nitakupaIwe shillings sasa.![]()
kwa ufupi gani ulionao😉😉😉!!!Sisi wafupi sijui tutaenda wapi.
Sisi wafupi sijui tutaenda wapi.

we una ufupi gani acha hizo. Nimekuona ujue.Mie wembamba sana hapana... napenda kudeka mie nimkalie kalie mara ninyanyuliwe sasa mwembamba sana ntammaliza Nguvu mapema![]()
!








Nagonga kabisaaaa,







Sisi wafupi tena wavaa mabwanga 😀😀😀kwa ufupi gani ulionao😉😉😉!!!
papaa ya mji, sawa mr kahawa.
vutoto ndio huwa vinawafanyia hivyo mabahari au unasikia simba inacheza... mtu anapoaaaaaa


Asiwe mwembamba sana eti ukimuegemea mnaenda chini woteMie wembamba sana hapana... napenda kudeka mie nimkalie kalie mara ninyanyuliwe sasa mwembamba sana ntammaliza Nguvu mapema![]()
!
awe mwembamba kawaida na kakifua kamejaa jaa. Rahaa