MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,441
- 69,247
.
🤣🤣🤣 kwahiyo niringie hata hiki eeh? Sio lazima ndege?Mguu wa hela huo hauwez kuuma maana nyama zimejaa mifupa haionekan😂😂
Kwan hiko kiatu hakinitoshi?😍
Tayari tuna Kajunia tumboni dada mkubwa😂Unyenyekevu unyenyekevu unyenyekevu…..na kuchangua cha kuzungumza kipi na kipi cha kuacha😁
Nakwambia Dawa yako ni pep kushinikizwa afanye mambo yake
Inabidi ku upgrade saivi🤣🤣🤣🤣 tunadeal na ndege, mabasi mmezoea
Daah, imegoma kwenda.
Rudia tena MkuuDaah, imegoma kwenda.
Kuna watu wanaenda Uturuki ili wapate mguu ka huo ujue😂🤣🤣🤣 kwahiyo niringie hata hiki eeh? Sio lazima ndege?
39 😂😂 we si wale wa 41
Tecno imegoma kabisa,..Rudia tena Mkuu
Nipo
Hahaha, let it burn......
mtu wa nguvu hawez ogopa hao CAUSE hata wao pua zao zinaangalia chini😂😂😂
Wasiojulikana huwaogopi?
Yes nahisi nafananisha jina alikuwaga na rafiki yake flani nakumbuka position yake...naomba nisiitaje...alupataga ajaliHuyu Dada sijui kwanini nishawahi ulizwa na watu zaidi ya watatu humu kuwa rafiki yangu Maserati yupo wapi.
Anyway hajawahi kuwa rafiki yangu itakua mnanifananisha labda na mwingine![]()
hapana hicho we nomaaa 😅😅😅 unshindilia hatari inavyo onekanawee kidogo hiko mbona![]()
Jf hamna stika 🤣🤣🤣🤣Kuna watu wanaenda Uturuki ili wapate mguu ka huo ujue😂
Wee 41 natafuta nini huko
Navaa 39/40, depends na aina ya kiatu
Mimi na mdogo wako🤣🤣🤣🤣🤣