Hakurudisha hata, kavu sana yule mbwaaa, kwanza akawaita wenzie wawili wacha wanipe mazoezi, nilihisi nakufa ile siku wallah
Siku ya mwisho anaomba msamaha, eti kuna maisha nje ya pale, nisimchukie, ilikua n kazin naye alikua anatimiza wajibu, niwe mzalendo na nisimamie haki, ila hela hakutoa mbwa yuleeee msieeeeew.