Selfika na JF: Snap it. Show it

nilienda JKT, hapo tena kwa lazima nkasema kuna baadhi ya taratibu zikiwepo kabla ya utekelezaji nachomoka mwenyewe, uzuri wake intake yetu hakukuwa na hiyo.

Kimbembe sasa huko kwenye mahema, kwanza maisha ya pale khaaaj, nlimuhonga mjeshi anitoroshe, bhana wee 200k angu alichukua, na adhabu juu eti mie mtoa rushwa, sema nikawekwa kitengo cha huduma, sikuteseka hivyo.

 


Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Na 200K ikapigwa au alikurudishia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…