Jeshi la Marekani halina watu na ukienda kule kihalali ukasema unataka kujiunga na jeshi watakufanyia mpango wa Green Card na fasta unakwenda depo. Labda ufeli mitihani yao mingine (background check, psychological evaluation.....)....Nenda mjukuu ukawe Seal Team 6 kama wale waliomuua Osama!