cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,943
Wee mr kahawa, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mr.Slim Kagame Junior [emoji28][emoji28][emoji28] nimeziduria tena ila nyuma hapo zipo tupia basi ila ataka lala [emoji41][emoji41]View attachment 2219599View attachment 2219602
Ndo watu wanakuambia umefanana na Kagame?
Puliiiiiz wamuombe msamaha baba wa watu, hebu wawe wazi umefanan nae kwa kipi? Maan hata kwa u slim wee umekua mnene kwake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]