Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani hazipiti dakika kumi sijawaza hilo jambo..
Nimejitahidi kueleza lakini wapi!
Gap bado ni kubwa..
Kuna mtu anajaribu kulifill lakini wapi!stress zangu hazina shukrani

Maisha ya kukaa lonely mazuri sana.

Pole sana nakuombea urecover katika suala hilo japo si rahis itachukua muda wewe kuwa sawa .

Muda mwingine tukipitia jambo gumu huwa si rahisi kusonga mbele kihivyo .. Mungu akupe faraja ndani ya moyo wako .
 
Mimi sijui hata nitarecover liniπŸ˜‚nishajikatia tamaa
Halafu huu mwezi ndio kabisa..unaniumiza vibaya mno ..kama ndio filamu basi picha limefika mwisho na kuanza upya mwanzo.

All in all maisha ya kutokujichanganya yana raha sana.
 
hostel nilishakataa kukanyaga, afu sahivi mie mkubwa bhana, nna mambo yangu pia staki kuwakwaza wengine, huenda mie ndo ningewapiga wao Exile

Woiiiiioh
Chaaaaa
Kumbe wewe ndio ungekuwa mpiga exile??
Ukubwa umeanza lini?
 
Unachokitafuta utakipata babu
 
Naomba kuuliza mana huwa sielew vizuri. Hivi nisipochanganya damu na hayo maji yake nikachanganya na maji ya kawaida haitoi majibu kiufasaha au hata maji ya kawaida ni sawa tu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sijui hata nitarecover lini
nishajikatia tamaa
Halafu huu mwezi ndio kabisa..unaniumiza vibaya mno ..kama ndio filamu basi picha limefika mwisho na kuanza upya mwanzo.

All in all maisha ya kutokujichanganya yana raha sana.
So sad ndo mwezi huu
Utarecover tu dear amini tu hivyo
Mwanzoni huwa si rahisi , muda utakupa jawabu sahihi .

Uchungu wa msiba hauzoeleki na unakuwa nao siku zote . Ni almost miaka saba toka mama aniache ila maumivu yapo tu siku unakaa unamkumbuka weh then life inaendelea tuh
 
Pole pia

Wakati wote Mungu ni mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…