Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi hostel nimepigwa miexile hadi basi.
Unakuta hapo nimetoka na upako wangu huko yaani Dah!

Vurugu tu,kuna watu wanaongea yaani..na katika hizo mada unakuta hata cha kuchangia sina.

Mimi hata kama watu hawana shida,basi tu huwa napenda privacy...nikae kivyangu vyangu tu.
 
Mie sio mtoto wa kishua, ila sipendi kulala na mtu mda mrefu.
Nitalala nae, muda na kwa tukio maalamu bas. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nisimame kwanza hapa,maana nimekosa sitiπŸ§β€[emoji2383]

kwa matumizi maalaumu🧍[emoji2536]‍[emoji2383]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maisha ya shule sitaki kukumbuka hata.
 
Tuishi na mie bas. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…