T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,097
- 30,500
Nimerudi mkuuNg'wagūkū nkoyi.
Bado uko Dar au ulisharudi home?
Nasikia mvua inanyesha huko Ntuzu balaa. Niliongea na jamaa analalamika pamba yake yote imeharibiwa.
Ajabu sana. Mvua mwezi wa tano wote huu ya nini? Halafu ifike wakati wa kilimo huko ndo inagoma.Nimerudi mkuu
Mvua inanyesha mno mpaka imekuwa kero leo tu ndo haijanyesha hapa mjini ila vijijini itakuwa imenyesha
Leo Wasukuma wako huko wamekupa zawadi gani? [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila kiukweli wewe ni mali safi na salama kabisa mkuuNawasalimia tu wapendwa!!View attachment 2218351
haha msukumaaaaa😜Nilikwambia Boss Lady. Tayari kumeshachangamka!
Una mvuto wa ajabu!
Leo nimeletewa mayai ya kienyeji manne nyie mm napendwa jamn[emoji7]Leo Wasukuma wako huko wamekupa zawadi gani? [emoji16][emoji16][emoji16]
Inanyesha tofauti/kinyume na wakulimaAjabu sana. Mvua mwezi wa tano wote huu ya nini? Halafu ifike wakati wa kilimo huko ndo inagoma.
Wasalimie huko.
Nakumbuka supu ya mbuzi Mawenzi Hotel dah! Bagishage koi!
Daaaaamn,,, coca umenishinda tabia [emoji23][emoji23]Kheeeh wee nisipajue hapo? Real? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nisha staafu mie now, nalea wajukuu.
Kwema tyuuh.Kwema mkuu
Nye nye nyeeTupo busy kuwalea akina Junia wajao[emoji2096]
Kuna mtu aliniambia mmepauza....Inanyesha tofauti/kinyume na wakulima
Haha..supu ya mbuzi ipo pale Slik Club mawenzi restaulent kahama pale nyumbani kwetu
Kuwalea au kuwatafuta?Tupo busy kuwalea akina Junia wajao[emoji2096]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakupeleka chobingo ingine, yaan hapo lazima ugeuze uwanja wako wa nyumbani.Daaaaamn,,, coca umenishinda tabia [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]cocaKwema tyuuh.
Afu hii mkuu mie siitaku, mkuu ya nyokooo? Khaaah.
Mnaboa bhana, [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Siamini shos nawewe umeanza kunijaza!Shouzzzzz yaan uko mtraaamuuu, hilo shape sasa, uki slap linaliaa pah pah pah, jaman kuna mwamba anaenjoy hapo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pameuzwa paleKuna mtu aliniambia mmepauza....
Nina miaka miwili sijakanyaga.
Mwaka huu Mungu akipenda utanizungusha kwenye viota vyako vyote hapo mjini aisee.
Halafu unatukandia...Leo nimeletewa mayai ya kienyeji manne nyie mm napendwa jamn[emoji7]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Oya coca lazima nkutafute nkiwa na mission ingine,, [emoji16][emoji16] aaaah we mwanamke kiboko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakupeleka chobingo ingine, yaan hapo lazima ugeuze uwanja wako wa nyumbani.
Si unajua mie mtu wa sehemu za mafichoni, yaan chimbo kweli chimbo. Hahahahah
Nazeeka na utamu wangu jomoneeeeh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mie sipendi kabisaa,