Kwanini mbuzi hutumii jamani.. mbona tamu sanaaa.. mie katika wanyama wa kufugwaa ninyime nyamaa zotee ila sio meeeee π π tutagombana
Ndyooooh[emoji23][emoji23]
Endeleeni kukimbilia vocha.. ila muangalie msijikwae.Wewe niache kwanza nipoze fuvu ,stori zako za kotoni sijui curtain zimenichosha fuvu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Depal huyu huyu mm muda huo nishaolewa ndoa ya kwanza nikaachika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Weee mbona tutaandamana sie ππππ!!! Usiache mkuu hatutakutania wala kukuongelea tena boss wetu mbarikiwa!!ππππBasi nimeacha kuanzia leo
Usiache plz, vocha tunazihitaji. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Basi nimeacha kuanzia leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endeleeni kukimbilia vocha.. ila muangalie msijikwae.
Mtoto mnaa sana huyoβ¦. Legends tunamuelewa πUnanisnitch?
Coca lile poz la track nikikaa mm kma ni mbao zinavunjika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah wapi wee.
Niko poa mama, mzima?Leo umeadimika humu
Uko poa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamuangukia had camera man,Coca lile poz la track nikikaa mm kma ni mbao zinavunjika[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Weee mbona tutaandamana sie ππππ!!! Usiache mkuu hatutakutania wala kukuongelea tena boss wetu mbarikiwa!!ππππ
Unifundishe kuslainisha kizungu shangazi
Chaaaa!!!
Hiki kipilipili,nakiangalia mara 2.
Ngoja tu nisuke kwanza
Wanasemaga eti nachuro tuachie misitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nachuro hea
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Woiiiiiiiooh nimeibambaaa, bonge la picha yaan, [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Bana bana, picha nayoitaka inagoma. Ngoja nijaribu kwa mara ya mwisho
Strawbella
Saint Anne View attachment 2216799
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha navunja kilakitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamuangukia had camera man,