Selfika na JF: Snap it. Show it

Unapambana sana[emoji28]
Hiyo bembea iko wapi na me niende
Kigamboni kule kuna sehemu hivi ya kishua pana hotel, swimming pool, yaan bembea hizo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We coca tukikaa pamoja ni tatizo,tunafanana kwenye hii hobby aisee![emoji3]
Kesho naenda zangu location na nguo kadhaa,nipige picha mpk basi
Utatuma humuuu hadi baas, ndo km mie naweza beba nguo nyingi kwa begi, nikifka pale nabadili tyuu nguo na mapozi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…