Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukijifungua Ukawa salama ni kushukuru sana mungu...kuna jirani hapa nikama amepararaizi mpaka leo .. ni baada ya kujifungua tu!!
 
Mr vochaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inabidi nimtafute Mrs Vocha humu[emoji1787]
Hebu mtafute tumuone yaan ufanye haraka. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ewaa,nyie sasa mnatekeleza mada hii Kwa vitendo kabisa.
Kumbe ndio mada mezani, basi ngoja nikaendeleze kazi, huyu last born anakuwa mzito kuja..nitaomba mkemia mahondaw anipe abc za nini nifanye[emoji1787]
 
Kumbe ndio mada mezani, basi ngoja nikaendeleze kazi, huyu last born anakuwa mzito kuja..nitaomba mkemia mahondaw anipe abc za nini nifanye[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Tumeacha ngoja tuendelee kuselfika tu mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…