Hapo akili lazima ikukae sawa mbona!Uwiii[emoji27]I can not imagine [emoji3064]
Na nilivyo Nyoronyoro
Yaan had uwape hela? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KabisaHapo ndo balaa na ukinyanyua mdomo unaweza tukana Hadi wakwezako uyo mumeo unaweza kumvua nguozote huko wodini
Sema Mungu nae anamiujiza yake kile kichwa kipite hapa sio mchezo[emoji23][emoji23]wamama wanapambana aisee ndo maana akitoa radhi zinakufika hasa
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sasa kama una cheti cha kuzaliwa
Wewe ni binti mbichi kabisa
Wabibi wanakupa historia tu
Ule mwaka babu yako alitoka burma
Ule wakati nyerere anaenda UNo[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wee usinambie khaaah.Bila hivyo hasira zake za baharia kulala nje atakumalizia wewe[emoji2][emoji2][emoji2]
Yaani wanakuaga kama hawajawahi kuzaa..
Weraaaaaa
Yeah au za private unatoa zako mshiko wa maana unajifungua huku unabebelezwa kabisa ila serikalini mwee hawana muda wa kubembeleza
Ukifanyiwa op sawa unauweka mwli jeraha lisilopona dear na Bora kawaida wanawake tumeumbiwa tuzae kwa uchungu tucheze segere huko Hadi kielewek[emoji28][emoji28][emoji23]ikitokea bahat mbaya ni Op Basi ni mapenz ya Mungu piaTutaenda theatre dada usijar.
Wa airtel mchukue hiyooo.
[emoji23]Cheti cha mchongo[emoji23][emoji23]
Duuuuh hatari sana, mweeeeehUkifanyiwa op sawa unauweka mwli jeraha lisilopona dear na Bora kawaida wanawake tumeumbiwa tuzae kwa uchungu tucheze segere huko Hadi kielewek[emoji28][emoji28][emoji23]ikitokea bahat mbaya ni Op Basi ni mapenz ya Mungu pia
Pata picha ujikate kisu jeraha lilivo na linavouma imagine zikatwe layer sio chin ya tatu kufikia mtoto [emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]Hahah
Hapo akili lazima ikukae sawa mbona!
Hahah... halafu mwezi huu pale mgongoni chini wanapochoma kale kasindano ka ganzi pananiuma kweli kweli!!Bila hivyo hasira zake za baharia kulala nje atakumalizia wewe[emoji2][emoji2][emoji2]
Yaani wanakuaga kama hawajawahi kuzaa..
Leo tuko busy na mada za kuchanua misamba threatreKwamba hamjatoka church mkapiga picha na hizo gauni/vitenge vyenu?
Wabarikiwe sana walioipata nawewe uzidishiwe mablessings mkuu!
Kama huna sababu ya ki medical Bora ujifungue kawaida tu shos![emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wee usinambie khaaah.