Yaani hadi nimesisimka sitosahau...
Halafu bado maumivu ya palipochanwa..
Kuna dada yangu juzi hali imchenjia alitapika sana,aisee nililia.
Amekula visu mara 2,huyu mtoto wa pili sasa,ile anatapika anachezesha mshono pale.
Akina mama waheshimiwe.
Hizo dalili ni kabla sasa mziki haujaanza.Vipi ukiamka asubuhi?
Au umeshasogea?
Ni hatariRaha ipo sanaaa sema hekaheka za mimba sasa uwiii! Na watoto wanabariki sana familia!!
sasa mie 2nd born sijui walinichomeka vibaya nilikua nikikojoa hauingii Katika ule mpira huku mpira unaumaa balaa unasema sizai tena kha!!Yaani hadi nimesisimka sitosahau...
Halafu bado maumivu ya palipochanwa..
Heeee!!86 juzi tu
Sitaki kukumbuka kabisa shangazi.... sasa mie nilijifanya kuanza kazi mapema kujiona nishakomaa na mshono haukunisumbua kabisa... sasahivi mgongo kiuno vinauma balaa!!
Ni hatari
Nilienda kumuona mdogowangu alikuwa kajifungua nikakutana rafikiyang wa shule ameshikwa na uchungu Kwan tulisalimianaalinipta km hanijui na katabasamu Cha maumivu nikamfata iyo sura nikamwambia poleshoga bdae nitakuja nikaone nilivorud kajifungua alicheka balaa
sema raha Sana hasa wanaopata bahat
ya kudeka nyie ukiwakuta na vigauni vyao wamepndeza
Happy mother's day
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hizi stori zinaniumizaAliyesema kupumzika miezi mitatu hajakosea..
Mimi nilipumzika miezi mitatu sikutaka shida kabisa..
Pole sana dear...
Asee 86 nipo kwenye bukta ya mzee sijui nitatoka liniKweli tena.
Nani mwingine humu wa 86?
sasa mie 2nd born sijui walinichomeka vibaya nilikua nikikojoa hauingii Katika ule mpira huku mpira unaumaa balaa unasema sizai tena kha!!
Pole Ila op ni kisanga Mungu awaponyeKuna wakati hakuna kudeka unatakiwa kukomaa kijeshi !
Yeah maternity ni miezi mitatu mapacha minne!Mie pia nilihangaika kwenye ule mpira tu nikawaza ulivamiwa mkojo unavouma vile halafu waliniweka vibaya eti waje wautoe niweke vizuri Mbona nitakufa kha!!Aliyesema kupumzika miezi mitatu hajakosea..
Mimi nilipumzika miezi mitatu sikutaka shida kabisa..
Pole sana dear...
Thank you BellaHappy birthday
Heeee!!
Humu wamejaa akina cocastic wa mwaka elfu mbili
Hahhaha Ile inakuwaga hasiraukiwa na mjeda unasahau kama ulisema sizai tena...
Heee jamaniDedications kachukue za mwaka Jana
Mwaka huu Sina muda wa kuandika
Eti bukta ya MzeeAsee 86 nipo kwenye bukta ya mzee sijui nitatoka lini
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sasa coca namzaa kabisa ,kwanza aanze kuniita mama sio shangazi tena