Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mimi nimewasemea ndugu zangu.. bado tuko kwenye mfungo wa 6, weee unaleta habari za mizagamuo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo maresh maresh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Cream rangi tamuu nyie, acheni tyuuh.

[emoji833] rangi hii ina historia kubwa sana kwangu.
Niacheni
Naona hadi katoni sujui katani hiyo curtains chaaaah
Hadi kichwa kinauma
 
Ewaaaaaah yeaaa broken whiteee.

Yess brown curtains iko mwakeeeh.

Aaaah kumbe wee vitu vyako vingi ni vya rangi hiyo humo ndani?
Broken white na cream ni rangi 2 tofauti.. ila zinashabihiana kwa mbali…

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hapana.. ila zinaingiliana
Mustard yellow inaingia kwa white, black, grey, d. blue..
 
Zinasumbua kipindi Cha MP kikipita Basi
Saint Anne mama Junia anachelewa kunipa mbinu [emoji16] nipunguze haya Mambo nipumzike miez Tisa anasema tu nijiongeze et [emoji23]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nipo nasotea na mimi hizo homa
Mimi mtindi unajaa unakuwa kama umeganda[emoji19]
Tuendelee kuchukua notes
 
Zinasumbua kipindi Cha MP kikipita Basi
Saint Anne mama Junia anachelewa kunipa mbinu [emoji16] nipunguze haya Mambo nipumzike miez Tisa anasema tu nijiongeze et [emoji23]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app

Tena kipindi kile wengine ndio wanatokea na chunusi sana...

Mimi zilinipata uso ulikua kama fenesi..[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…