Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
I second you...Hahah sasa kwani mi ndio sipendi kusikia nisiyoyajua jamani...
Duh...mbaya hiyo, always nimekuwa against na hizo tabia za kiswaziii...
People in here ndio hao hao waliopo nje ya hapa...
Being friends in here, kwangu huwa naona pia tunaweza kuwa friends nje ya hapa pia...maana mtu ni wewe wewe na mimi mimi...
We always fake bout other stuff but we can't fake who we real are...









