Selfika na JF: Snap it. Show it

Pepo toka kichwani mwake

Nakuamooroo utookee

Acheeeea acheeaaa
Upendo Mimi na yeye rafiki hautafika mwisho
Wanaosema na waseme sisi kitatutenganisha kifo.

Yeye ni rafiki yangu oo ooh
Wa kufa na kuzikana oh oh
Wai wah wai wah wai wah!

Mr nice wawaaa🥰👌
 
Hapo kibozone

Ndio wanakusikilizisha zis muzik
Ama kweli kizunguzungu
Kinanichanganya mpaka kinanipa wazimu
Siishi kuanza kunywa sumu sababu ya huyu brother man 😍

Ni yeye niliyemwona mbele ya macho yangu wuwu
Aniwaze,aniliwaze yeiye yeiyee
Nisiwaze amezaliwa ili awe wangu uuu
Hapo kibozone

Ndio wanakusikilizisha zis muzik
Rachuliii🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…