Selfika na JF: Snap it. Show it

Wige wewe ni mkorofi [emoji23] nan kasema hizo wanakula tu wanaume wa Dar? Anakula yoyote bwana muone.
Huwezi kula huo mlo uliosiribwa sijui mayoneisi sijui chiizi halafu uende kulima au uingie kwenye mtanange na supa dupa yutong. Utachemsha!...Hiyo ni milo ya wanaume wa Dar [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…