Hata hakukua na pilau kwetu nikajua utanialika na wewe ukanilia buyu.Pilau limeisha ndo tunakumbukana sasa dah!
Enewei hawa yu furendi?
Hau wozi ze pilau?
za kawaida sana.nenda tushazifunguanifumbue macho kwahii code mjeda!
za kawaida sana.nenda tushazifungua
akyamunguNiko Ukraine ukitaka pitia huku twende wote huko
Nilikosa mafuta ikabidi nitumie haya kukaangizia. Hata kama ningekualika sidhani kama ingekuwa haki!Hata hakukua na pilau kwetu nikajua utanialika na wewe ukanilia buyu.
Niko poa sana, sijui wewe na uchoyo wako [emoji16][emoji16]
Saint Anne π€£π€£π€£π€£π€£Eti liver wananyanyua kwapa, wanaota... waambie wasisahau ku-shave kabla ya kunyanyua makwapa yao[emoji1787][emoji1787]
Duh! Wacha nitulie tu hayo mafuta siyawezi kabisa.Nilikosa mafuta ikabidi nitumie haya kukaangizia. Hata kama ningekualika sidhani kama ingekuwa haki!
View attachment 2212693
I am good!
Nilikosa mafuta ikabidi nitumie haya kukaangizia. Hata kama ningekualika sidhani kama ingekuwa haki!
View attachment 2212693
I am good!
Simu yangu ilikuwa haina chaji babu[emoji3061]Baada ya pilau leo ndo unanikumbuka? Wajukuu wa siku hizi hovyooo!
Bado sijamnyaka Tanzanite shos Wigelekelo mtu chake nifungulieni hii code pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Utaumia sana mwaka huu, sisi ndio Liver bwanaπEti liver wananyanyua kwapa, wanaota... waambie wasisahau ku-shave kabla ya kunyanyua makwapa yao[emoji1787][emoji1787]
Huko intelligence niπ₯Ngoja nipumzishe akili ss,baada ya kutoka jamii intelligence[emoji119]View attachment 2212730
Sisi tulitaka mpite nyie ili tuwatandike kihalali.Sisi hatukua na lengo la kushiriki tyuuh, tulikua na lengo la kunyanyua kwapa, bahati haijawa yetu bas tumeishia semi final,
Tunakuwa buzzy na EPL, huku tukijipanga na UEFA ijayo.
Sisi ndio tulikua tunatazamwa km wabebaji wa ndoo hii msimu huu, hata hawa waliotutoa hawaamini, na wanaoenda final wote wanatuzungumzia sie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi tunawatakia final njema, na mkaupige mwingi. Enjooooooooyyyy!!!!
Na wanyaki mlivyo "hairy"π€£π€£π€£ Anne hapa nimetania tu mpwaπ€£π€£Utaumia sana mwaka huu, sisi ndio Liver bwanaπ
Ntanyanyua kwapa lenye kiotaπ
Yapo kweli. Kuna jamaa anayauza mtandaoni. Wabongo kwa fursa utawaweza? [emoji16][emoji16]Hv n kweli [emoji848], haya mafuta nayahitaji [emoji4]
ππππππNa wanyaki mlivyo "hairy"π€£π€£π€£ Anne hapa nimetania tu mpwaπ€£π€£