Wee hilo kombe ushachukua kwan? Unaweza kosa hilo kombe na huku EPL ukakosa pia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oh tunanyanyua kwapa na blah blah kibao
Labda wanyanyue kupunga upepo[emoji38]
Shytee [emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]
Tunasubirije matokeo? Na nilishakuambia hamtoboi tokea Madrid kamtoa Chelsea?Niungue kwa kipi dada? Kumbe mnaiogopa city eeeh, mlikua mnasubiri matokeo kwanza, hahahah.
Haya nendeni final, mtatupa mrejesho.
Umesoma kuanzia mwanzo???Shouzzz kaweka ingne sahivi, nimesoma hadi nimeogopa yaan.
Madam za asubuhiUmesoma kuanzia mwanzo???
Asali ni chakula kilichopo katika hali ya semifluid!Madam za asubuhi
Nina swali hapa hivi asali ni kinywaji???
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
City kutolewa n gumzo Duniani kote. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Tunasubirije matokeo? Na nilishakuambia hamtoboi tokea Madrid kamtoa Chelsea?
Hehe haloooo
I can see kahuzuni kwa hiyo comment yako [emoji1787][emoji1787]
Ariririiii
Halla Madrid… Let’s fly beib [emoji23][emoji23]
Tenaa zote 3, uwiiiiiihUmesoma kuanzia mwanzo???
Mkemia. [emoji12][emoji12][emoji12]Asali ni chakula kilichopo katika hali ya semifluid!
Tenaa zote 3, uwiiiiiih
Jaman yule kaka kumbe kayeyushwa kwa Surlphulic acid.
Maskini wee, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
yeah it is a food substance!!😜Mkemia. [emoji12][emoji12][emoji12]
AsanteAsali ni chakula kilichopo katika hali ya semifluid!
Hapana hajawa gumzoCity kutolewa n gumzo Duniani kote. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nyie nendeni final, sisi tuko buzzy na EPL sasa.
Relaaaaaaaaaaaaaaaax.
Eti liver wananyanyua kwapa, wanaota... waambie wasisahau ku-shave kabla ya kunyanyua makwapa yao[emoji1787][emoji1787]Hapana hajawa gumzo
Ila tatizo marehemu alikuwa na mdomo sana, tunamchekaaa.
Jifariji na Epl maana huna namna tena.. ni kama Arsenal akifail UEFA atasema lengo lao la kwanza lilikuwa ni ile kushiriki tu UEFA but deep down ni maumivuuu
Sisi hatukua na lengo la kushiriki tyuuh, tulikua na lengo la kunyanyua kwapa, bahati haijawa yetu bas tumeishia semi final,Hapana hajawa gumzo
Ila tatizo marehemu alikuwa na mdomo sana, tunamchekaaa.
Jifariji na Epl maana huna namna tena.. ni kama Arsenal akifail UEFA atasema lengo lao la kwanza lilikuwa ni ile kushiriki tu UEFA but deep down ni maumivuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiniambie!!!!Kilevi changu ni ulanzi dea.
Haswaaaa yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tar?