Ndio juzikati tu ndio imeanza !nilienda wakanipa mavidonge fulani hivi naona bado nataka niende hospital nyingine nione! Mi mwenyewe chakula changu kikubwa kilikua mchemsho sipendagi vya kuunga unga sana mie sasa hapo nakomaje!! ya kuku hadi niikaange kauuu walau!Ooh pole
Kumbe imetokea hivi karibuni vipi umeenda hospital yawezekana ni allergy fulani hivi .
Navyopenda nyama .. nakuonea huruma aisee
Supu huwa nzuri sana wakati wa uzazi ..nakuombea upate suluhisho aisee
Sis mwenyeweee, [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
wige kanizeveza hadi nimepitwa na selfii yako kha !!Tanteeeeeeh.
Nshaifuta mie mbna.shos siioni mbona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] wee endelea na wige wako huyo.wige kanizeveza hadi nimepitwa na selfii yako kha !!
SYB
Fanya kurudia one time shos Jamani![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] wee endelea na wige wako huyo.
Unapitwaa tyuuh.
Tayari hapooo.Fanya kurudia one time shos Jamani!
Acha wivu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] wee endelea na wige wako huyo.
Unapitwaa tyuuh.
modo mmoja mattatta sana [emoji8][emoji8][emoji3531]
[emoji1787]
Nimeona shos asante!!! Kama kawa bongo bahati mbaya [emoji3577][emoji3577][emoji3531]Tayari hapooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wivu wa nn sasa nawee?Acha wivu
Fanya kurudia
Eeeeeeh ndyoooooh. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]modo mmoja mattatta sana [emoji8][emoji8][emoji3531]
Mpambe km mpambe, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Vacation IBIZA, usisahau. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeona shos asante!!! Kama kawa bongo bahati mbaya [emoji3577][emoji3577][emoji3531]
Naanza kukuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wivu wa nn sasa nawee?
Ngosha una tabu sana, khaaah.
Nimeshuhudia kwa watu ..Umejuaje[emoji848]
Una mtoto[emoji848]
Unitue wee ngosha, samahan.Naanza kukuona
Kama
Waifu matirio hivi
Bado upo hyatt
Unabinuliwa[emoji848]