Nilikachambaa katoto kadogo kanataka kusumbua wakubwa zake
Nikawaambia hivi nyie mnadhani nyie ndo wa kwanza kujua mapenzi dunia nzima??
Wazazi wenu wanajua watoto wapo shule kumbe mnafanya ujinga tu!
Kama hamuwezi kutoka wenyewe Kwa amani basi ngoja nimwite Suma awatoe
.
Kuna hadi nyumba vya elfu 15 huko mjini ila wameng'ang'ana tu kukera watu hostel...aisee sipendagi ujinga.
Kila jambo linatokea Kwa sababu...huenda Mungu alikuwa ananiandaa kuvumilia kero hapa duniani.