Kuna roommate wangu alikuwa ananipiga exile.
Nimetoka na maupako yangu huko nakuta tu kitanda kinatikisika aisee..
Sitamani tena hayo maisha ya hostel.
Kumbe ile kitu ulishaitupia hapa before?
Dah..... ila ile kitu ni balaaa nilitamani kukuomba ruhusa jana nikaitupie kule kwenye ule uzi wa warembo wakali😜
Kumbe ile kitu ulishaitupia hapa before?
Dah..... ila ile kitu ni balaaa nilitamani kukuomba ruhusa jana nikaitupie kule kwenye ule uzi wa warembo wakali