Kwa nyie wanaume sifahamu mafuta gani yanafaa sana kwenu ila naonaga nyie mnapenda Nivea hizi , Vaseline for men etcNa wenye ngozi zenye mafuta unashauri lotion gani mrembo?
Wee thubutuuu, kwan 26 enyewe nimekupendelea,tufanye basi hata 27 khaa [emoji23][emoji23]
Yaan kumbe ni dogo kabisaaaa khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha jamani [emoji23][emoji23]
Kumbe sasa [emoji23]
Yes vassline for men ndio haswa lotion yangu.Kwa nyie wanaume sifahamu mauta gani yanafaa sana kwenu ila naonaga nyie mnapenda Nivea hizi , Vaseline for men etc
Labda mdau mwingine atoe ushauri
Ahsante kwa kunionesha products.Ooh vyema dear
Huku chini si ulikuwa boarding au hiyo shule ikojeToka 4m 1-6 nimeishi hostel, wee chuo niligoma kabisaaa.
Nkasema nshakua mtu mzima, nahitaji uhuru sasa na mie lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaYaan kumbe ni dogo kabisaaaa khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha yaani umejigeuza mzazi mtu?Wee thubutuuu, kwan 26 enyewe nimekupendelea,
Huvuki hapo usinitanie, khaaaj, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ooh pole kwa hilo ..Yes vassline for men ndio haswa lotion yangu.
Ngozi yangu ina mafuta sana.
Tangu primary had chuo ni serikali. Primary nlisoma kayumba,Huku chini si ulikuwa boarding au hiyo shule ikoje
Muda mrefu huo ulikaa hapo
Kwa hiyo hapo umepanga mwenyewe
Kuna raha yake kuishi kwa kujitegemea mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha yaani umejigeuza mzazi mtu?
Hatareeeeh.Hahaha
Ooh hapo nimekupataTangu primary had chuo ni serikali. Primary nlisoma kayumba,
O level nlisoma shule ya jinsia 1, ya boarding O &A level, advance nilienda zenye wanaitaga special school, nayo boarding O & A level.
Chuo ndo nipo maghetton alone, yaaah full uhuru na amani.
Changamoto zipo ila sio kihivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilichokimbia hostel chuo, kuwa watu wanafanya mambo yao mbele ya wengne na hawajali wala nn, khaaah.Ooh hapo nimekupata
Kuishi peke yako ni raha sana .. nakumbuka wakati naenda kupanga everyone was like unakaa pekee yako why ? .. nawambia ndio wanabaki kushangaa aisee siku si nyingi wakaanza malumbano baadae wananiambia eeh bora kuishi mwenyewe tu .
Imagine unakaa na mtu then yeye anamleta boyfriend wake hawatoki hapo nyumbani .. wewe unabaki kuwa kama mkimbizi [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilichokimbia hostel chuo, kuwa watu wanafanya mambo yao mbele ya wengne na hawajali wala nn, khaaah.
Nkajisemea siwezi mie asee, now nipo alone yaan naenjoy balaaa.
Kuishi maghetton n full burudaaan.
Hostel za chuo ni uchafu mtupuu, yaan wanayofanya huko khaaah.Ooh so sad
Huko ndo kuna mambo hayo
Kuishi mwenyewe kunaleta uhuru fulani hivi
Umeamka asubuhi huna hela ni wewe .. umepata baadaye unajua wewe tu.
Ah mbaya sana hiyoHostel za chuo ni uchafu mtupuu, yaan wanayofanya huko khaaah.
Hapana kwaa kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee thubutuuu, kwan 26 enyewe nimekupendelea,
Huvuki hapo usinitanie, khaaaj, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huvuki hata, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Navuka
Hadi za kike pia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ah mbaya sana hiyo
Nikajua huwa ni hostel za kiume ndo mara nyingi hivyo