Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,570
- 235,411
Chombo ya kaka🤗🔥
Maisha Magic Bongo, DSTVWanarusha channel gani hizo tamthilia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli nimepitwa na Dunia, hata kiba ana wimbo mpya na sijui? Khaaaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wimbo wa Alikiba huo mdogo wetu
Mie natumia cha Azam😒Maisha Magic Bongo, DSTV
Yes kwenye HUBA.Ni kwenye HUBA
Mrembo wapi dokta!!!
Wewe umepitwa kwelikweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli nimepitwa na Dunia, hata kiba ana wimbo mpya na sijui? Khaaaaah
Enjoy na Sinema Zetu😂😂Mie natumia cha Azam😒
tamsana bado nasubiria ujue tangu ile siku bado nipo hapa🙇!
Shouzzz hereni hizo naziomba, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengine Idd kesho na keshokutwa!!View attachment 2208452
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2208466
Na tabia ya kununua vitu vingi unaweka kwenye mfuko kisha ukirudi nyumbani unashindilia [emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2208473
Akipokea tu kitakachofuata kitu kizito analeta
[emoji23][emoji23][emoji23]Enjoy na Sinema Zetu[emoji23][emoji23]
Wifi kama wifi🔥🔥🔥
mweh zakindez tu hizi wewe hazikufai shos!!Shouzzz hereni hizo naziomba, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimezikubali mnooooo.
Mkuu nilishatupiaga siku ile. Pole kumbe hukuona.tamsana bado nasubiria ujue tangu ile siku bado nipo hapa🙇!
Depal wewe hutaki hizo Hereni au tukuache na mambo yako?Shouzzz hereni hizo naziomba, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimezikubali mnooooo.
Mama abiud. [emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa naangalia mchezo fulani unaitwa Panguso
Nao sijui umepotelea wapi siku hizi...Asha Boko alikuwa ananichekesha.