Yaan nisipochambana na mtu au kumtibua mtu sijisikii poaa, yaan kila siku lazima mtu m1 niwe na jambo nae, chuo wanakoma mbna.
Yaan nikiamka lazima mtu m1 niamke nae,
Nimekumbka kuna siku mkaka wa chuo nkaamka naye, acha anifanye nikimbie peku chuon km mtoto khaaah.