Kuna mmoja alitaka aniletee hizo mambo eti tuwe wapenzi wa JF tu tuwe tunacciana nikamuambia weeee wasije wakasema ni mtu mmoja anajicc mwenyewe
Na vyenye sisi tuliojiunga mwaka huu watu wanavyotudoubt kuwa ni old members in new ids basi mtu unaogopa hata kufungua id nyingine maana watu wana machale duuh