Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
π π Prof Juma Kapuyanga mwalimu wenu alikuwa mmoja eeh πππUsiwe na wasiwasi na Mimi Mkuu, sisi ni wale Wazee wachache tuliofundishwa maadili na hayati Mzee Nyerere tangu wakati ule wa Azimio la Arusha, kabla ya Maazimio ya Musoma na Dodoma π€ͺπ€ͺ
Nimeona ni kama upo bonde la Usangu, vipi unalima huko? Karibu nikukodishie shamba la mpunga karibu na hao Waburushi πΆπΆπΆ
Hahahahaha...........Prof Kapuya alikuwa Dom leader wetu wakati tupo Jeshi la kujenga Taifa miaka Ile π€ͺπ€ͺπ π Prof Juma Kapuyanga mwalimu wenu alikuwa mmoja eeh πππ
hapana sio usangu.. waburushi wakwe zangu nitawatuma uwaoneshe mzigo kwanza π π
Unaona shamba la mchumba Nuzulati kaniomba nimuangalizie angalizie maendeleo yake maana anajisikia ka homa homa π π .. nyie wazee wapiga deal sanaHahahahaha...........Prof Kapuya alikuwa Dom leader wetu wakati tupo Jeshi la kujenga Taifa miaka Ile π€ͺπ€ͺ
Naona unaogopa kutapeliwa, sisi Vijana wa Zamani hatujawahi kuwa Matapeli kama ninyi mlivyo, Muulize Mzee mwenzangu Chenge jinsi tulivyo waungwana ππ
Mpe hongera Mjukuu wangu, kumbe kile kitabu changu nilichowaandikia wosia Vijana cha "Kama mnataka Mali mtaipata shambani" alikisoma vizuri na kukielewa π€ͺπ€ͺπUnaona shamba la mchumba Nuzulati kaniomba nimuangalizie angalizie maendeleo yake maana anajisikia ka homa homa π π .. nyie wazee wapiga deal sanaView attachment 2203935
π π mkujukuu yupo smart kichwani na kwenye kila kituMpe hongera Mjukuu wangu, kumbe kile kitabu changu nilichowaandikia wosia Vijana cha "Kama mnataka Mali mtaipata shambani" alikisoma vizuri na kukielewa π€ͺπ€ͺπ
Hii hapa sasaBado unambembeleza Baba Mchungaji tangu juzi? Au unatubania tu hayo maputo makusudi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nipe hizo sifa Babu yake hapa Kwa malezi mazuri niliyompatia ikiwemo na kumpeleka Shule nzuri ya Upili na Chuo πͺπ π Mjukuu yupo smart kichwani na kwenye kila kitu
Haya bana....Ai givapu! [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Hii hapa sasa
π π π π ahaha siri ya kambi we mzeee.. siku hizi kumekuwa na case nyingi za wababa kulala na watoto wao sidanganyiki atii.. ila jua na enjoy sanaaa.. dunia kama yangu vileNipe hizo sifa Babu yake hapa Kwa malezi mazuri niliyompatia ikiwemo na kumpeleka Shule nzuri ya Upili na Chuo πͺ
Nibakizie basi π
Nakusubiria π€Nibakizie basi π
Wewe lazima nije nikupige faini siku ya kuja kuleta Posa, na kwenye hela ya Mali lazima nitake Koti la Suti kutoka Italia kabisa kukukomesha π€ͺπ€ͺπ€ͺπ π π π ahaha siri ya kambi we mzeee.. siku hizi kumekuwa na case nyingi za wababa kulala na watoto wao sidanganyiki atii.. ila jua na enjoy sanaaa.. dunia kama yangu vile
Mimi na huyo baba mchungaji msimamo wetu ni uleuleHii hapa sasa
Upi huo?Mimi na huyo baba mchungaji msimamo wetu ni uleule