Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,417
Stress nadhani ni msongo wa mawazo...mfadhaiko kuna kipindi walikuwa wanaitumia kumaanisha ile hali ya msisimko inayompata mwanaume anapogusana na mwanamke na kupiga bao papo kwa papo. Mf. Mtu anabanana tu na mwanamke kwenye daladala basi yeye huyoo anapiga bao....extreme and unusual sexual arousal....Hivi kuwa na mfadhaiko ndo stress ama lugha gongana??
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa sana yaani...Kufake maisha ndo kitu kilinishindaga
Nikapige picha Serena hotel kwa show off
Sinaga hayo mambo
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mhola bageshiBageshiii
Uhali gani
Hahhah Yan acha tuNimekuelewa sana yaani...
Naona Alizeti zimekubali. Perfect timing halafu. Utafikiri uliongea na Putin. Hongera!
Alafu kunaile Hali ya wasiwasi kupitiliza hiyo pia inaweza kuwa tatizo ni kawaida tuu inaishaga yenyew??Stress nadhani ni msongo wa mawazo...mfadhaiko kuna kipindi walikuwa wanaitumia kumaanisha ile hali ya msisimko inayompata mwanaume anapogusana na mwanamke na kupiga bao papo kwa papo. Mf. Mtu anabanana tu na mwanamke kwenye daladala basi yeye huyoo anapiga bao....extreme and unusual sexual arousal....
Mfadhaiko nadhani pia yaweza kumaanisha kuvunjika moyo...ambayo inaweza kusababisha stress....
Hatari sana.. 🔥🔥🔥🔥 uliumbwa ukaumbika
HahahaaHatari sana.. 🔥🔥🔥🔥 uliumbwa ukaumbika
Unaua ile mbayaaa malaika Lenie .. hatari tupu 🔥🔥Hahahaa
🔥🔥 eeh una kitu chako special wengine watabaki wana kiota tuuuHatari lakini salama
Anxiety....kama ni ya hali ya juu kabisa inabidi kutibiwa na wanasaikolojia. Kuna watu akipata Anxiety attack hawezi kufanya cho chote wengine wanaweza hata kuzimia.Alafu kunaile Hali ya wasiwasi kupitiliza hiyo pia inaweza kuwa tatizo ni kawaida tuu inaishaga yenyew??
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Asante kwa maelekezoAnxiety....kama ni ya hali ya juu kabisa inabidi kutibiwa na wanasaikolojia. Kuna watu akipata Anxiety attack hawezi kufanya cho chote wengine wanaweza hata kuzimia.
Ni aina fulani ya mental disorder na kwa kawaida kunakuwa na trigger fulani inayosababisha. Wanasaikolojia na watu wa ushauri nasaha (therapists) watakuongoza hatua kwa hatua mpaka mgundue chanzo chake na wanaweza kuipunguza na hata kuitowesha kabisa...
Kama ni anxiety na hofu tu ya kawaida hiyo haina neno. Ni response tu ya mwili katika mazingira mbalimbali ila kama ni ile hali inakutokea huwezi kufanya cho chote, unatetemeka, moyo unakwenda kasi, kooni unakabwa, unaona mpaka maluweluwe, unatamani hata kutapika - na inakutokea mara kwa mara itabidi kupata msaada wa kitaalamu.
You are extremely blessed. Take care of that heroic woman and enjoy every moment with her. Ikibidi hata muombe tu akufinye ili ufurahie yaani...That's the closest to true love that you will ever get in this world....
Matatizo ya Neva huweza kusababisha Hali ya wasiwasi?Anxiety....kama ni ya hali ya juu kabisa inabidi kutibiwa na wanasaikolojia. Kuna watu akipata Anxiety attack hawezi kufanya cho chote wengine wanaweza hata kuzimia.
Ni aina fulani ya mental disorder na kwa kawaida kunakuwa na trigger fulani inayosababisha. Wanasaikolojia na watu wa ushauri nasaha (therapists) watakuongoza hatua kwa hatua mpaka mgundue chanzo chake na wanaweza kuipunguza na hata kuitowesha kabisa...
Kama ni anxiety na hofu tu ya kawaida hiyo haina neno. Ni response tu ya mwili katika mazingira mbalimbali ila kama ni ile hali inakutokea huwezi kufanya cho chote, unatetemeka, moyo unakwenda kasi, kooni unakabwa, unaona mpaka maluweluwe, unatamani hata kutapika - na inakutokea mara kwa mara itabidi kupata msaada wa kitaalamu.
Baridi la hapo inaonekana si la mchezo mchezo.
Baridi la hapo inaonekana si la mchezo mchezo.
Salama mpendwa naendelea vizurisafi sana umeamkaje