Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Udongo OG kabisa, haujachakachuliwa😅😅Amen. nimebarikiwa super sana hii colour..udongo wa peponi hui
Udongo OG kabisa, haujachakachuliwa😅😅Amen. nimebarikiwa super sana hii colour..udongo wa peponi hui
Una hatari wewe 😎😎Udongo wa kuumbiwa malaika uoUdongo OG kabisa, haujachakachuliwa😅😅
🤣🤣 duniani kuna malaika pia ujueUna hatari wewe 😎😎Udongo wa kuumbiwa malaika uo
wewe ni mmoja ya malaika wa kike .. haipingwi duniani wala mbinguni 😎😎🤣🤣 duniani kuna malaika pia ujue
Naendelea vizuri, za wewe??Unaendeleaje[emoji848]
Namuona mnyama mkali.View attachment 2202295
Kilingeni Msata [emoji23]
Imepita hiyo😛wewe ni mmoja ya malaika wa kike .. haipingwi duniani wala mbinguni 😎😎
Mhmh [emoji16]Namuona mnyama mkali.
Mganga mwenye maendeleo yakeView attachment 2202295
Kilingeni Msata [emoji23]
wenyewe wivu wakale cement 🤓🧐Imepita hiyo😛
Hahahahaaawenyewe wivu wakale cement 🤓🧐
Una hatari sana, hata Mungu anajivunia kwa kutoa chombo kama wewe.. akikutazama anamuambia Gabriel umeona kitu hicho.. Mungu asifiwe kwa kuumba asee.. maana hajapata hasara kabisa kukuumba wewe 🤓🤓Hahahahaaa
[emoji44]
U busy mommy..
Nikilala ugali hauliki, hebu nione.
Amen kubwa sanaUna hatari sana, hata Mungu anajivunia kwa kutoa chombo kama wewe.. akikutazama anamuambia Gabriel umeona kitu hicho.. Mungu asifiwe kwa kuumba asee.. maana hajapata hasara kabisa kukuumba wewe 🤓🤓
Hivi salads hizo hazikuletei amoeba [emoji23][emoji23][emoji23]mimi nikigusa lazima nihangaike
Hujawahi jaza sahani
Kwan wewe hujamuona [emoji4]Mhmh [emoji16]