Selfika na JF: Snap it. Show it

Ohooo
Naomba unifundishe
Mahitaji
Bagia za kunde
Nunua kunde kiasi chako
Kitunguu maji
Swaumu
Tangawizi
Unga wa ngano
Na vingine utakavyohitaji

Maandalizi
Osha kunde zako vizuri baada ya hapo loweka kunde zako kwenye bakuli .. ziache hapo kwenye maji kwa usiku mzima ili ziweke kulainika .

Kesho yake zitoe kunde zako kwenye maji halafu uweke kwenye kinu / blender / food processor ili uzitwange na kulainika wakati kunde zinatwanga kata mahitaji yako hiyo vitunguu na tangawizi baada ya kunde kusagika changanya vitunguu vyako kwenye mchanganyiko wa kunde weka na chumvi kwa ajili ya ladha ..

Andaa unga wa ngano vizuri na uanze kutengeneza vidunguli /vitonge vya duara huku ukishikizia na ngano ili isiweze kuachia ..
Baada ya hapo andaa mafuta kwenye karai yapate moto then uweke kunde zako zikageuka kuwa kahawia hapo epua zipo tayari kwa kula .
 

Nitakujibu mkishafunga ndoa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…