Nakuambiaje achana soda hizo ni chemicals tupu, hizo ni rangi na sukari za viwandani, kunywa beer, hio ni ngano sawa na chapati.
Halafu ukitoka agiza lite beer achana na hizi strong beer kama balimi na safari hizo huziwezi, muambie mhudumu nipatie serengeti lite ya baridi, ugali na nyama choma, utanishikuru baadae
Lite beer kama seŕengeti lite, castle lite au heineken hutojutia, unaweza andaa andaa snacks pembeni, ukipiga na popcorn utanishukuru baadae.