B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
Sawa mkuu
Mjep dakika sifuri View attachment 2199054
Mjep dakika sifuri View attachment 2199054
Sitaki hata 🤣🤣Hutaki kuniiga mdogo wetu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ile nanii ya jana ni t au nimekosea?
[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]Boss lady mwenyewe huyooo[emoji173]
Ahsante...[emoji120]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] eti sawa lol!Sawa mkuu
kutafutiana dhambi za rejareja tu walai!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Unakuta naye anakaa sana haondoki haraka.
Mambo ya watu kuja bila taarifa,tena Muda wa chakula.
[emoji23][emoji23][emoji23] umeshiba my darling ex[emoji16]Mweeh[emoji23]
Yaani wewe unakishangaa chakula changu huku huwa unakula nusu yake
Chaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sitaki hata [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa si ndio wewe na yule mwenzio pombe… namkubali sana mwamba yule.
Hehehe Manutd tutawashangaza next seasonBora tu hashabikii lile timu la kinyonge dunia nzima
Mimi na wewe hatuchekani[emoji23][emoji23][emoji23] umeshiba my darling ex[emoji16]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Ahaaa mimi uwa nakula mara 4 kwa sikuMimi na wewe hatuchekani
Tena heri mimi mwenzio mtoto wa kike[emoji23]
Mumshangaze nani??
Mimi mara 10[emoji846]
Hivi watu huwa hawawezi kutoa taarifa mapema??kutafutiana dhambi za rejareja tu walai!!
Yeye amefika muda uleule kakuta chakula mezani!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kiji akiba changu kipo hatariniMechil hapa, nasubiri chelsea inishangaze Saint Anne View attachment 2199032
🤣🤣🤣 ulitegemea ukutane na utakatifu gani?Chaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikutegemea
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kiji akiba changu kipo hatarini
Najikuta tu
Nihurumie binti wa kichaga
Nina malengo ujue[emoji2297][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] eti sawa lol!