Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nina njaa balaa hapa[emoji39][emoji39][emoji39] ...ile mchana tumeivisha tu mgeni huyu hapa ...! Mtu mzima nikavunga eti nilichelewa kunywa chai bado nimeshiba mchana nimekunywa juisi tu hapa ndani hakuna bites hakuna chochote cha kutafunatafuna Kurudi jikoni tena uwiiii!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Unakuta naye anakaa sana haondoki haraka.

Mambo ya watu kuja bila taarifa,tena Muda wa chakula.
 
View attachment 2199018
Nilikuwa napenda kutumia sahani kama hiyo… baada ya kuona wee unayo na kuna nani mwingine alipost anayo, nikaamua kubadilika [emoji1787] Nitumie hii au kama hiyo yako ila nyeusi yake
Hutaki kuniiga mdogo wetu[emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi ile nanii ya jana ni t au nimekosea?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Unakuta naye anakaa sana haondoki haraka.

Mambo ya watu kuja bila taarifa,tena Muda wa chakula.
Mbaya zaidi kila Siku binti wa kazi anafujafuja vyakula TU anapika mavyakula kibao yanabaki yanamwagwa ... si nikamuambia dogo maisha magumu vitu vimepanda bei hatari hii tabia yako ipo siku nitawalaza njaa si leo nimeshikilia usukani jikoni kila kitu nimepima eti chakula kikawa balanced...alichonifanyia mgeni sasa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]!![emoji23][emoji23]
 
Mbaya zaidi kila Siku binti wa kazi anafujafuja vyakula TU anapika mavyakula kibao yanabaki yanamwagwa tu... si [emoji753] nikamuambia dogo maisha magumu vitu vimepanda bei hatari hii tabia yako ipo siku nitawalaza njaa si leo nimeshikilia usukani jikoni kila kitu nimepima eti chakula kikawa balanced...alichonifanyia mgeni sasa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]!![emoji23][emoji23]
Halafu amelengesha muda wa chakula
Kutafutiana dhambi bila mpango[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom