Ile mnaita kiwigi sijui? Me wakati mwingine uwa za kati naweka wave…
Hawa wazee wetu ni noma
alitukatazaga suruali, binafsi nilisikia.. dogo aligoma… yule mtoto ni vijora, skin jeans na pensi.. sketi akivaa ni ya shule
Mshua aliongea mpaka akasahau
Anha itakuwa hiyo .. style ile huwa naipenda .
Hadi suruali alizuia huyo anaonekana mkali vipi nahisi ulisemaga alikuwa JW.
Zamani sisi tulikuwa tunamuogopa hivi wanajeshi sijui wanakuwaje sio kwa ukali huo .. rafiki yangu mmoja wakati tupo shule alisukaga vitunguu , Mzee wake alimngoa zile rasta .

Wanakuwaga na mambo yao jau sana.. sema ilisaidia sana hata vijana wa hovyo mtaani hawawasumbui… dizaini ye anaogopeka mpaka nyie mnaogopwa
Khaaa huyo alizidi… mimi huyu kitu alizidigi ni kuna siku nilizingua akaenda kunichomea shule 🙌🙌
Ile siku nilikula stick jamani, na haya mashule yao venye wako na fimbo zao spesho 🤣🤣🙌🙌