Selfika na JF: Snap it. Show it

Kichwa kizuri kabisa hicho
Ukinyoa style unapendeza
Sijui ni style hiyo au ilikuwa nyingine
🤣🤣 mshua wangu ni ananipigiaga wasap vdeo call, siku akapiga akanikuta na Style konki… akanambia kwanini umenyoa kama boda boda!? 😂😂😂

Next call nisikute hicho kiduku🤣🤣
Basi sahivi ni mwendo wa usabato tu
 
Ooh sawa
vipi style zile unanyoa huku unaset weekly , nywele inabaki na mawimbi hiyo anaikubali ?

Wazee huwa wanakuwaga wakali
Mimi wangu hataki nipake rangi ya kucha aisee huwa naibia napaka miguuni tu .. akiniona naficha vidole [emoji23]
 
Eti bodaboda😂
 
Ile mnaita kiwigi sijui? Me wakati mwingine uwa za kati naweka wave…

Hawa wazee wetu ni noma 🙌 alitukatazaga suruali, binafsi nilisikia.. dogo aligoma… yule mtoto ni vijora, skin jeans na pensi.. sketi akivaa ni ya shule
Mshua aliongea mpaka akasahau 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…