Protein kwa sana. Epuka vyakula vya mafuta. Kunywa maji ya kutosha. Piga tizi progressively (ukipiga push ups 100 leo, wiki ijayo ongeza mwili usizoee). Pata muda wa kutosha wa kulala. Pumzika angalau siku mbili bila tizi (hapa ndio mwili unakua). Cha muhimu zaidi, usiwaze sana kuvimba.