Selfika na JF: Snap it. Show it

Kujipa siteresi tu. Cha muhimu ni kuwa na mahusiano mema na ya moja kwa moja na Mungu wako basi. Nyingine zote mbwembwe tu!
Ni kweli kabisa, Kuwa na uhusuiano wa moja kwa moja na Mungu ni msingi, ila haindoi other entities kuwa kinyume chako ( kushambuliwa au kushambulia ), Wengi tu wana mahusiano na Mungu mazuri sana, but wana suffer sana, kanuni za rohoni na ulimwengu zinabaki pale plae ni kama sheria ambazo hata Mungu mwenyewe haziingilii kwasababu ameishatupa maarifa..

Mfano Mungu hawezi kuja kushughulika na wewe, kuna Malaika waliobeba kusudi au jibu unalotaka, kuanzia Yesu Daniel na wengine utaona malaika walivyokuwa wakifanya kazi nao, haya kama Malaika kapigwa Pin alie beba majibu yako au hatma yako unafanyaje ? It means kuna sehemu yako ya kufanya, haya kuna case watu wamelaaniwa katika ardhi, hata kama una uhusiano mzuri na Mungu usipofanyia kazi ibabaki hivyo hivyoo... Kuna Part ya Mungu na Part ya mwanadmu kufanyia. Wengi wanao mpenda Mungu na kukosa maarifa ya kanuni na kuujua ukweli wa ulumwengu wa roho wanataabika kwasababu wame ignore ukweli wa ulimwengu wa roho na shughuli zake

My people are destroyed for lack of knowledge [of My law, where I reveal My will].
Because you [the priestly nation] have rejected knowledge,
I will also reject you from being My priest.
Since you have forgotten the law of your God,
I will also forget your children.

so that you may be able to [successfully] stand up against
all the schemes and the strategies and the deceits of the devil. For our struggle is not against flesh and blood [contending only with physical opponents], but against the rulers, against the powers, against the world forces of this [present] darkness, against the spiritual forces of wickedness in the heavenly (supernatural) places. Therefore, put on the complete armor of God, so that you will be able to [successfully] resist and stand your ground in the evil day [of danger], and having done everything [that the crisis demands], to stand firm [in your place, fully prepared, immovable, victorious].

But this is a people despoiled and plundered;
All of them are trapped in holes,
Or are hidden away in prisons.
They have become a prey with no one to rescue them,
And a spoil, with no one to say, โ€œGive them back!โ€
 
Shukrani sana da Heaven Sent kila siku unaongeza jambo lenye heqma kwenye hizi akili mbili kasoro..! Mungu akubariki mno, you real are the true definition of 'heaven sent'..! Nimejifunza kitu kikubwa sana.!
'Love alone is not enough'...!
 
When I walk through deep waters
I know that You will be with me
When I'm standing in the fire
I will not be overcome
Through the valley of the shadow
I will not fear

In the midst of deep sorrow
I see Your light is breaking through
The dark of night will not overtake me
I am pressing into You

You're my strength
You're my defender
You're my refuge in the storm
Through these trials
You've always been faithful
You bring healing to my soul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ