Ona sasa. Mzee wa miaka 83 bado mtambo wake wa Nyuklia unafanya kazi. Ila ningemshauri apime DNA mapema. Kuna uwezekano mkubwa wa kubambikiwa (hasa kama ana vihela)
Hata Mrema anaweza akapata mtoto...Kule Naija nako Rais wa zamani Gen. Obasanjo nasikia kavuta pisi iko mid 20s japo naye yuko huko kwenye 80s. Men!
View attachment 2195561