Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,545
- 235,319
Mweeeh ππππMuda ukifika mbona mambo yenyewe yatajieleza aisee ..
Unaweza mwambia mama au mtu mwingine wa karibu ..
Ngoja wakubwa wakupe uzoefu .
Naona wewe tayari ushafunga ukurasa, unalea tu sasa.Fanya hima tule wali siee!!
Dah magumu sanaIla siku hizi maisha ya mahusiano ni magumu sana
Duh! Mume anaweza kula kona
Shkamoo auntie [emoji23]Yaani wewe dogo bwana...
Nina 35 na hakuna anayesema[emoji1787]
Hahhaha acha tuKwahiyo ni moto juu ya moto..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji119][emoji119]
Wenzako tushaimbiwa sana nyimboMama yangu mwenyewe anaongeaga tu mambo mengine
Hajawahi hata..
Nina dada kibao,hakuna aliyewahi niambia.
Nafikiria kwa mfano nimepata mtu,sijui itakuwaje[emoji23]nitamwambia nani?
Na nitaanzia wapi??
Bado ajira zenyewe hamnaMiaka hii hadi mtu umalize shule uanze kujipanga.
Yaani mambo ni mengi.
Mie nawaacha tu nikiwambia bado hawaelewi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanakuonea
Sio mbayaMweeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wananionaga mtoto wa miaka 7
Napelekwa kitoto aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πππShkamoo auntie [emoji23]
Mwee ππππSio mbaya
Wanakufanya last born hadi ukubwani .. kwetu wanakupa hapo cha moto .
Ipo siku tu utashangaa wanakuambia tu Anne ulete mtu nyumbani .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio wewe tuu muulize Kelsea pia anasema ensamu boys wamemtesa sana ila wanazipelekea mbususu moto vizuri.
Wee ningekuwa handsome boy mbona wee ningekuwa nilishakupanutamu wa ukuni na ulivyo mrembo
Zamani wengi hawakusoma..Bado ajira zenyewe hamna
Ukija kupata uende Masters aisee
Bongo hapa bado sana
π€£π€£π€£π€£π€£Hahhaha acha tu
Na hapo sijichanganyi na watu kihivyo [emoji23]
Nawambia mimi bado mdogo ah wapi [emoji1787] ila wazaramo wametuharibu .. watu tunaona ndoa ya mapema ndo nzuri .
Safi mzima?
Yeye umeona akini CC?
Mimi?Mbona mkorofi hivyo[emoji848]
Ndio tena usikute wanajiuliza chini chini hivi huyu Anne vipi kulikoni ?Mwee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa jinsi wanavyonibana