Wa mtaani ndo wa humuAh nyie warembo wa jf mlishatukandia wacha tupambane na hao wa mtaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ah wapi wee huwezi kupata mualiko kwanza jamaa wako wa jf asije kuvamia shere bure akidhani umekuja kugeggedwa na mzabzab🤣🤣🤣🤣🤣Rafiki usinisahau mualiko, kila la kheri.
[emoji23][emoji23]
Alivyobeba vyombo mara ya mwisho akajiapiza kumuacha.Mweeh pole yake. Hapo unakuta anashindwa kumuacha, Mchungaji ataonekanaje
Ndio nyie hao hao wa mtaani. Aya wacha nianze na wale warembo wote walio single humu jfUmeanza na wewe si tulikubaliana wa humu ndio hao hao wa mtaani[emoji23]
Sasa mbona naanza kujuta kukuambia ukweli usinifanyie hivyo bwana[emoji23] sio vizuri ujue.Ah wapi wee huwezi kupata mualiko kwanza jamaa wako wa jf asije kuvamia shere bure akidhani umekuja kugeggedwa na mzabzab[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kelsea tubadilishane umbea[emoji23][emoji23][emoji23]
Aya usijali nitakupa mualiko private hatjua kuwa unakuja kuniona nachukua jikoSasa mbona naanza kujuta kukuambia ukweli usinifanyie hivyo bwana[emoji23] sio vizuri ujue.
Changamka usizubaeNdio nyie hao hao wa mtaani. Aya wacha nianze na wale warembo wote walio single humu jf
Ndugu bado sijakutana na hizo mambo za kupata maswali ya kukera.Hahha akiwa ndugu je ?
Mimi nawaambia Muda wa Mungu ukifika
[emoji23][emoji23]Kelsea tubadilishane umbea[emoji23]
Nakuja kukuletea wa Mange.
Naanza na wewe 🤣🤣🤣🤣Changamka usizubae
Hana shida yule, we nipe tu mualikoAya usijali nitakupa mualiko private hatjua kuwa unakuja kuniona nachukua jiko
Khaa jaman[emoji23]Naanza na wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi Wala huwa siulizwi jamaniNdugu bado sijakutana na hizo mambo za kupata maswali ya kukera.
Nina dada tu ambaye kanambia dogo ukiolewa shela na gari juu yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nina baba mkubwa ye anaulizaga mkwe wetu yuko wapi, nacheka tu yanaisha. Ananiambia usinionee aibu mimi mambo ya kitanzania sina [emoji1787]. .. yeye huyu amespend muda mwingi nje
Njoo shoga yangu[emoji847][emoji23][emoji23]
Nipo mama, shusha umbea [emoji23]Njoo shoga yangu[emoji847]
TikTok huwa naangalia comedy comedy za wachekeshajiSio mbaya
Mtandao ambao sijapenda ni tiktok naona umekaaje sijui ila mingine hii naingia sana .
Kalilowea kwenye ule Uzi mwingine.Hivi cocastic kapotelea wapi sijamuona muda hapa