Selfika na JF: Snap it. Show it

yeah kwa utaratibu sahihi... Lakini changamoto ya umri pia itawatesa sana wanawake na jamii sijui kwanini huwa inawachukulia tofauti wanawake ambao umri umeenda ila hajaolewa tofauti na mwanaume ambae umri umeenda ila hajaoa... Hivi Kwanini??
1. Mfumo dume. Bado umetamalaki. Ndiyo maana mwanaume anaoa...na mwanamke anaolewa. Na bahati nzuri/mbaya kitakwimu waolewaji ni wengi kuliko waoaji...

2. Kibayolojia. Mwanaume anaweza "kuzaa" wakati wo wote hata kama ana miaka 80 kama bado mitambo yake ya nyuklia inafanya kazi. Kwa hivyo presha kwake siyo kubwa kivile. Mwanamke yeye ana kikomo cha muda japo anaweza kuzaa hata mpaka akiwa na miaka 45+ - hasa kwenye nchi za wenzetu huko ambako kuna huduma bora za afya. Inashauriwa sana kuwa mwanamke apate mtoto wa kwanza kabla hajavuka 35 kwa sababu baada ya hapo viishu vya hapa na pale kuhusu uzazi vinaanza kujichanuza. Miaka 35 kwa mwanaume ndiyo muda sahihi pia wa kutulia na kuanzisha familia lakini ndo kwanza utawakuta mabro bado wanagawa dozi mtaani. Ukimuuliza kuhusu ndoa utasikia bado najipanga kaka...na hakuna anayemshangaa.

3. Jamii yetu bado inafungamanisha heshima na mafanikio ya mwanamke na ndoa...na watoto. Naamini hali hii itabadilika kwa kadri jamii inavyopiga hatua za kimaendeleo. Mfano; Marekani sasa karibia nusu ya wanawake hawataki kuolewa na hata wanaoolewa zaidi ya nusu wanaishia kwenye talaka....na wengine hawataki watoto kabisa hata kama wakiolewa. Hawa wana vigezo vingine vya kupimia heshima na mafanikio ya mwanamke; na ndoa na kuwa na watoto siyo vigezo vyao vikuu.
 
[emoji16][emoji16]umenikumbusha ninarafikyang Sana toka tuko shule mm nikaendelea na shule yeye akafeli akaolewa yani ukiongea nae kilapoint "uolewe Basi na wew"

Nikawa nakuchukia nilivomaliza chuo sasa kelele zikazidi Tena yeye na mumewake ushauri nasaha wa kutosha
Miaka Mitano ya ndoa Mambo yakageuka Mara ugomvi kilasiku malalamiko Mara mtu kaachwa nikamuuliza nduguyangu unaniambiaje [emoji23][emoji23][emoji23]

Akanambia subiri kwanza kidogo usiolewe kwanza ndoa sio mchezo na hajaolewa Tena Hadi leo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani kila kitu kina faida na hasara.
Mtu akiwahi ndoa anakuwa na faida ya kuzaa mapema lakini wengi wao akili inakuwa bado haijakomaa kuweza kubeba ndoa.

Wanandoa wanaochelewa kuoana watapata watoto late lakini wengi wao akili zinakuwa zimeshakomaa..Kuna namna wanajitambua.
 
Hahahaaaaa.....🤣🤣🤣🤣😂😂
😂😂😂!!
 
Hapana.

Narudia….

We’re single for not being married..
we’re not singlee sababu hatuko wenyewe… we date!!
Results of dating ndio hizo ndoa..

Mambo za sharing ni zako
Tunaiba ni wewe ndiyo umesema, mimi sipo huko.
Sasa mnadate alafu hamuolewi kwa nini wakati nyie ni warembo
 
Hivi kwa Tanzania takwimu zetu zikoje kuhusu idadi ya wanawake kwa wanaume? Zinakaribiana au kuna mpishano mkubwa? Kuna kitu nitakuuliza nikipata hizo data kwanza.
 
Mange limelipua bomu .
Limeachia video ya mwenzie yaani 😂😂😂😂

Umbea sipendi ila unanifikiaga tu..
Kuna group Moja la shule nipo basi huwa wanaweka kila kitu huko ..
Mimi nastukia tu gallery yangu imejaa mapichapicha.
 
Sasa Mange yeye anaumia wapi? Lulu kama alianza kudate akiwa mdogo yeye inamuhusu nini? Mbona sioni cha maana alichoandika Mange kweli roho mbaya na wivu wa kijinga kazi sana.
Umeona video aliyoweka Jana?😂😂🤣

Amemjibu..eti Lulu akiwa anatafuta Hela ya ujenzi🤣🤣🤣🤣
Yaani hawa ni washenzi sana 😂🙌
 
Haya ushauri ndio huo mlishapewa kazi kwenu....sii mlikuwa mnatusema sie wanaume wa jf hatuna hela kumbe hamjui sie ndio wanaume bora kimbilie hao wa mihela wasasambue mbususu zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…