Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Wakati wa Mungu hufanya njia jangwaniWakati wa Mungu ni kama Upepo mkali
Ukuta huwezi kuzuia lazima utabomoka.
Wakati wa Mungu upepo mkali mlango huwezi kuzuia lazima utafunguka
Wakati waaa Mungu ukikujilia
Mwanadamu ni nani apinge??
Usichoke ngoja
Ngoja
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji120][emoji120][emoji120]
Paul Clement
Aliyekupa hii tufe mrudishie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliupiga mwingi huyu mtumishiWakati wa Mungu hufanya njia jangwani
Mito ya maji nyikani
Wakati wake hauna upinzani
Kumbe wakati wa Mungu
Huwafanya adui zangu kuwa rafiki zangu
Kila kitu huwa rahisi hata vilivyoshindikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]Niko njiani
Hapana mtoto mzuri…endelea na ukorofi utavishwa taji mbeleniUwiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie mbona unataka unipige kabla sijala ubwabwa???
Akiyanani nimeacha ukorofi mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3]muhindi tena?Asante, ka mwili portable Christine1 kwa muhindi muuza ubuyu.
Siku ya ubwabwa au?😂😂😂😂Hapana mtoto mzuri…endelea na ukorofi utavishwa taji mbeleni
NakuzoomAfadhali [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Niko hapa🏃♀️Nakuzoom
Uko na kichwa mbaya sana…imejaa ubishi na ukorofiSiku ya ubwabwa au?😂😂😂😂
Nani huyo anataka kujitafutia kesi ya mauaji kwa kunikung'uta?😂Uko na kichwa mbaya sana…imejaa ubishi na ukorofi
😂😂😂
Siku unakung’utwa uniite nije kushuhudia unavyolishwa makonzi chamdeko
🤣🤣🤣🤣🤣 cha ubishi akili yako unaijua mwenyewe.Niko hapa🏃♀️
Mwee afadhali hata unaniona
Wakung’utaji.Nani huyo anataka kujitafutia kesi ya mauaji kwa kunikung'uta?😂
Mweee🤣🤣🤣🤣🤣 cha ubishi akili yako unaijua mwenyewe.
Nakugawa Kwa mkopo 👐🏿
Sasa mbona watajitafutia kesi?Wakung’utaji.
Wakati huo nitakuwa najilia🍿
😹😹😹😹
Wewe huyo huyo🤒🤒Sasa mbona watajitafutia kesi?
Kajitu kenyewe ka kukung'utwa niwe mimi?
Naona tunaandamwa sana[emoji16]
Nilitoka kidogoAsante sana best hapa kwa selfii umefika! Kaa hapo hapo dakika sifuri
Duh[emoji849]Wigelekelo ukichelewa utakuta manyoya