Selfika na JF: Snap it. Show it

Ngoja tuanze na zoezi letu la kujiscrub
Mwaka huu ni urembo kwa kwenda kundasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nkamu nimekubali hali ya hewa ya Dodoma inapausha na hapo sijawahi kaa hata week mbili mfulululizo….. ila nikikaa siku tano naanza kuona mbona kama napauka flan hivi….hapa nna mawazo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]nataka nikae nitafute vipodozi vinavyoendana na huku
 
Umeona eeeh?
Kwanza Dom maji yake tu magumu sana ..hakufai.

Tafuta tu chaurembo wetu.
 
Umeona eeeh?
Kwanza Dom maji yake tu magumu sana ..hakufai.

Tafuta tu chaurembo wetu.
 
Enzi zetu hizo mzee mwenzangu. We were real men back then [emoji123][emoji123][emoji16][emoji16]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…