Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndiyo. Kuchapiwa unaweza kuchapiwa hata kama wote mmejifungia chumbani hamtoki 24/7. Kinachosemwa hapa ni ile ya kuongeza vishawishi. Mkeo yuko mpweke. Ana male besties huko maofisini na kwingineko. Mabro wa kiroho kibao...na wewe uko mbali. Ni wanawake wachache sana wanaoweza kuvumilia hasa siku hizi.

Fimbo ya mbali haiui nyoka....

Wapenzi/wanandoa wawe pamoja labda pale tu inapobidi. Na ikitokea wakatengana basi wasitengane zaidi ya miezi mitatu. Vinginevyo wasilaumiane!
 
"Likely mume wako ni mwelewa sana hata siku moja akija kuona mauzi yako na mapicha ya humu wala hatamaindi. Ni mwanaume wa aina yake aisee!"

 
Yeah sure. Ingawa kuna muda ndiyo inabidi sasa muwe mbalimbali; si unaelekea maisha yetu haya ya kutafuta huku na kule. Mungu atusaidie aisee
 
Mi mwenyewe nashangaa kama unavyoshangaa wewe ma mchungaji tena kwa sasa mimi sio x tena tusema ni Z sasa kuna maswali najiuliza sipati majibu kwamba mimi nafanyeje hizo jitihada labda eti za kumrusha OMG! seriously sielewi kwanza naanzaje mimi yani mtu nijiengue mwenyewe kisha nitake kujirudisha mwenyewe tena naona tunapangwa live bila chenga yani waziwazi mbona hainiingii akilini kwakua nilijiengua mwenyewe kupunguza jam yeah kupunguza jam tena sio ile ya kiugomvi ilikua peaceful means kabisa katu Siwezi
 
Nimewaza hii kitu hawa wanaume zetu wengi wao wangekua washapiga chini baada ya kuujua ukweli. Amshikilie sana mumewe.
Kwa kweli. Wanaume ikija kwetu ni no excuse ya kuchepuka.

Ashikilie ndoa yake, na heshima yake yeye binafsi pamoja na mumewe. Kila siku unahusishwa na drama za ex mchepuko; kwako binafsi tu sio heshima
 
Kumbe ulijuengua?
Tuambie ilikuwaje.
 
So hadi sasa hivi hujajua kabisa kwa nini unaingizwa kwenye drama za X? Kwamba from nowhere tu wanakuhusisha na X? Sawa uzushi na uongo huwa upo; ila hapa fuatilia aisee; kuna mlango ambao umeuacha wazi na ndiyo huo ambao unaruhusu madrama mob

Btw ulianzishiwa uzi gani huo niusome labda nitaambulia moja au mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…