Selfika na JF: Snap it. Show it

Ninachoona unajiingiza tu kwenye drama ambazo ungeweza kuziepuka tu, ukaendelea na ndoa yako kwa amani. Mlishaachana, humuhitaji; ila kutwa unaingizwa kwenye magomvi sijui unaanzishiwa threads za majungu (as you said); kwa nini wewe unaingizwa kwenye mambo yake na wakati wewe ni ex?

Kuachana sio ugomvi; ila I can imagine mume wangu awe na ex ambaye ni best friend ake forever. Aaaah thubutuuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oh kumbe
Kwahiyo unachukulia advantage yeye kutokuwa mtu wa mitandao kutaka kusolve Tena ishu zako na mzee wa miongozo?
Vipi ukifanya utatubu tena?
Rejea ulichosema pale juu kwamba mna mambo yenu ugomvi sijui Nini!!
Sina habari za mahusiano nae tena ...nilikoma nikatubu mazima kama kuna taarifa mlizisikia ni fekero sasa ngoja niwape mkanda mzima muamini msiamini sio kesi yangu niwape nisiwapeee🤸🤸🤸😜😜
 
Ohooo.... Just because my hubby yuko nje ya nchi huwa anakuja mara 3 au 4 kwa mwaka so nina muda mwingi tu
Mimi sikulaumu Boss Lady. Kumuacha mpenzi/mchumba/mke kwa zaidi ya miezi mitatu ni kujitafutia kuchapiwa tu hata ufanyeje labda ubahatishe sana sijui upate mke wa aina gani. Mimi nilimwacha wa kwangu kwa miezi minane nikawa nimefanya maandalizi kila kitu kuja kurudi kumchukua nikaikuta pisi ina kitumbo cha miezi minne mapenzi ndi ndi ndi na lifisadi limoja hivi. Basi pisi nikaiachia tu iende japo mpaka leo tuko marafiki sana.

Wanawake wengi hasa hizi pisi kali vishawishi ni vingi mno na kabisa haziwezi kuvumilia. Na sasa hivi nikiwa na pisi kali siiwachi hata kwa mwezi mzima. Kama inachapwa pembeni ichapwe na mimi nikiwepo lakini siyo kusingizia upweke.

Bosi Ledi kinachonishangazaga ni kwamba unafanya mambo yako openly tu wala hujifichi. Ndo maana inakuwa vigumu sana kuamini kama una mume. Likely mume wako ni mwelewa sana hata siku moja akija kuona mauzi yako na mapicha ya humu wala hatamaindi. Ni mwanaume wa aina yake aisee!

Ndoa ndoana lakini hata kwa vijana mnaooa sasa hivi. Kamwe msikubali kuwaacha wake zenu kwa zaidi ya mwezi mzima kama bado mnawapenda. Wewe huko uliko utakuwa unachepuka na yeye huko atakuwa anachepuka pia japo kuna wachache wavumilivu sana! Mungu na Awasaidie


#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
 

Ati best friend wake?
Aisee labda niwe zwazwa kukubali huo ujinga, vinginevyo moto utawaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…