Hivi mwanaume rijali, anayejielewa unapata wapi ujasiri wa kupretend kuwa ni mwanamke ?
Hizi ni dalili za kuwa samjo samjo na lengo nikutaka kutapeli watu.
Nakuja kwako [emoji23][emoji23][emoji23]
Si nimetaja kuwa hapo ni ziwani kama sio baharini
Ninong'oneze [emoji87]
Truth be told...
Aimen
Unataka kunipa ile miwa ya nyongeza mdogo wangu mzuri mzuri!!
Zile ni pespsi jamani...
Mimi nasemea mirinda nyeusi banaa
Bora nibaki na tege langu mimi, natafuta mtu wa kunifundisha mapozi ya kusimama tuu mimi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa si ndiyo haina matege jamani??
Pespsi sio tamu jamaniSasa ndiyo nilimaanisha badala ya kunywa mirinda nyeusi unywe pepsi
Nachukua moja mimi..
Lazima nisome
Huku jukwaani ananiita rafiki lakini pm ananiita "mchumba" nashindwa kuelewa kwanini haniheshimu[emoji23][emoji23]Wewe anakuita nani eti jamani!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]hahaha jf bana...
Ni wapi eti jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah
Dar es salaam au mwanza. Nisaidie kutaja mkoa basi[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]ndiyo sehemu gani eti??
Au wewe unasemaje mdogo wangu mzuri mzuri
Hamna wa kukusuta banaNaona unataka nisutwe mie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi tulikuwa tunaongelea nini eti jamani??