Hatuna busu kwa sababu ya changamoto ya korona, ujue tokea ije korona kuna taratibu nyingi sana za kiibada zimebadilika.L
Tumeshatoka [emoji1787]
Mmebusu Msalaba kwenu? Au hujaenda..
Sijui mambo yamekuwaje, huku kwetu leo hatujabusu.. Padri kaupitisha tu waumini tunapiga ishara ya Msalaba
Kwani mkuu ubabadili dini au maana yetu badokaribu ununio.easter monday
Ununio very close to my homekaribu ununio.easter monday
[emoji1787][emoji1787]
Umeanza[emoji1787]karibu ununio.easter monday
cjaelewaKwani mkuu ubabadili dini au maana yetu bado
kweli?Ununio very close to my home
Njoo nikueleweshe vizuricjaelewa
No busuHatuna busu kwa sababu ya changamoto ya korona, ujue tokea ije korona kuna taratibu nyingi sana za kiibada zimebadilika.
Heri ya siku ya Ijumaa kuu.
Na zile benchi zinavyojua kukomaza goti π€£ nilichoka ikabidi nitandike lesoIla weweπ€£π€£π€£
Magoti lazima yachoke
Sista duuNa zile benchi zinavyojua kukomaza goti [emoji1787] nilichoka ikabidi nitandike leso
HapanaSista duu
Hadi madhabahuni[emoji1787][emoji1787]
NikubishieHapana
Usifanye mchezo na ibada ya ijumaa kuu/ njia ya msalaba.
Kuna hizo piga goti simama za ujazo [emoji7]
Huyo ni wewe?
Unataka kusemaje? π€£πββοΈπββοΈHuyo ni wewe?
Kesho
Mwenye barabara zake ππ€£πββοΈKesho
Nipo
Viungani mwako
Nalianzisha saa hizoMwenye barabara zake [emoji41][emoji1787][emoji2088]
NakujaKaribu