Usiku wote huu
si ungewaambia walale
Wee siku hizi pamekuwa pazuriiii, kuna ghorofa inaangushwa pale, hizo garden humo ndani
hao Suma JKT wako na hiyo kiherehere 1
IAA imekuwa ya moto kimazingira afu ni kama imetanuka
siku hizi napaona pakubwaa afu wanafunzi shaziii